# Na fadhila ya Bwana Mungu wetu iwe yetu "Na Bwana Mungu wetu awe na huruma kwetu" # fanikisha kazi ya mikono yetu Hapa "mikono" inawakilisha mtu mzima. "tusababishe tufanikiwe"