# Taarifa ya Jumla: Mstari huu ni zaidi ya mwisho wa zaburi hii. Ni kauli ya kufunga ya kitabu kizima cha 3 cha Zaburi, ambacho kinaanza katika Zaburi 73 na kuishia na Zaburi 89. # Abarikiwe Yahwe milele "Watu wamsifu Yahwe milele" # Amina na Amina Neno "Amina" linarudiwa kusisitiza kukubali kilichosemwa.