# Wewe ni nguvu yao ya fahari "Wewe huwafanya kuwa na nguvu ya ajabu" # Wewe ni nguvu yao Hapa "yao" inamaanisha Waisraeli. Mwandishi angejiweka pamoja kama mmoja wa Waisraeli. "Wewe ni nguvu yetu" # sisi ni washindi Hapa "sisi" inamaanisha mwandishi na Waisraeli. # Kwa kuwa ngao yetu ni ya Yahwe Mfalme ambaye huwalinda watu wake na ambaye Yahwe amemchagua anazungumziwa kana kwamba ni ngao ya Yahwe.