# uliowalinda "wale unaowalinda" Hii inamaanisha Waisraeli. # jina la Israeli halitakumbukwa tena Hapa "jina" linawakilisha sifa au kumbukumbu ya mtu. "hakuna mtu atakye kumbumbuka Waisraeli walikuwepo" # Wamepanga hila kwa pamoja na mkakati mmoja "Adui zako wamekubali pamoja kwa mpango mmoja" # dhidi yako wamefanya mwungano "wameungana pamoja dhidi yako"