# Taarifa ya Jumla: Asafu anazungumza kwa niaba ya Israeli. Anaanza katika mstari wa 8 kuzungumzia jinsi Mungu alivyowaweka Israeli katika nchi yao kana kwamba Mungu alikuwa ni mtu anayesafisha ardhi ili kupanda mzabibu. # Geuka "Geuka kwetu" au "Njoo utusaidie tena" # na ugundue "na uangalie" # mzabibu huu Mwandishi anaendelea kufananisha taifa la Israeli na mzabibu. # Huu ni mzizi ambao mono wako wa kuume ulipanda Mkono wa kuume unawakilisha uwezo na nguvu ya Yahwe. "Huu ndio mzizi ambao wewe, Yahwe, ulipanda" # kichipukizi sehemu za mimea ambazo zinaanza kutokeza kutoka ardhini # chini; wanaangamia kwa sababu ya lawama yako Maana zinazowezekana ni 1) chini; watu wako wanaangamia kwa sababu ya lawama yako." au 2) "chini. Na adui zako waangamie kwa sababu ya lawama yako!"