# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya kwa watu wa Israeli. # walipingana na kukaidi Maneno haya yana maana ya kukaribiana. Mwandishi anayatumia yote kusisitiza kuwa Waisraeli hawakuamini kuwa Mungu atawap mahitaji au kuadhibu maovu kama alivyosema atafanya. # walipingana Walitaka Mungu kuthibitisha kuwa anaweza kufanya kama alivyosema kabla hajamwamini. # kukaidi "kataa kutii" # Hawakuwa waaminifu na kutenda kwa uongo Maneno haya yana maana ya kukaribiana. Mwandishi anayatumia yote mawili kusisitiza kuwa Waisraeli hawakumfanyia Mungu walichosema watafanya.