# Aliita akilini "Alikumbuka" # wameumbwa kwa nyama Neno "nyama," ambalo ni dhaifu halafu hufa, ni njia nyingine ya kusema udhaifu na mauti. "Waisraeli walikuwa wanyonge na siku moja watakufa" # maeneo yenye ukame "sehemu ambapo hakuna kitu kinachoota" # walimpinga Mungu Walitaka Mungu kuthibitisha kuwa anaweza kufanya alichosema atafanya kabla hawajamwamini.