# Taarifa ya jumla: Baada ya kuzungumza na Mungu, Asafu anazungmza na Mungu katika mstari wa 4 na kisha anarudi kusungumza kuhusu Mungu. # Uliyashika macho yangu wazi "Nilisema kwa Mungu, 'Ulishika macho yangu wazi.'" # Uliyashika macho yangu wazi Macho yaliyowazi ni njia nyingine ya kusema kushindwa kulala. "ulinizuia kulala" # siku za kale, kuhusu siku za zamani "kuhusu vitu vilivyotokea siku za zamani sana"