# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Taarifa ya Jumla: Watu wa Mungu wanazungumza katika 75:1, na Mungu anazungumza katika 75:2-3. # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # weka katika Al Tashhethi Hii inaweza kuwa inamaanisha mtindo wa muziki. # Zaburi ya Asafu "Hii ni zaburi ambayo Asafu aliandika" # wakazi wote "watu wote wanaosishi ndani yake" # ninazifanya imara nguzo za dunia "ninaiweka dunia kutoangamizwa" au "waweke watu wangu salama" # Sela Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.