# awahukumu Anayezungumziwa hapa ni mtu atakaye hukumu # kumvunja vipande vipande mkandamizaji "kumwangamiza kabisa yule anayewakandamiza" # wakati jua bado linadumu, na wakati mwezi bado upo Jua na mwezi ni mfano wa maneno kwa ajili ya mchana na usiku, ambayo pamoja ni maneno ya ujumla kwa ajili ya wakati wote.