# Na uzidishe ... geuka tena na unifariji "Nita unizidishie ... nataka ugeuka tena na kunifariji." Tafsiri zingine zinasoma, "Utanizidishia ... utageuka tena na kunifariji" # geuka tena na unifariji Hii inaeleza tendo moja katika misemo miwili. "nifariji tena" # kwa uaminifu wako "kwa sababu ninaweza kukutumaini" # nitaimba sifa kwako kwa kinubi, Mtakatifu wa Israeli "kwako, ambaye ni Mtakatifu wa Israeli, nitaimba sifa huku nikicheza kinubi"