# jina la Mungu Hapa "jina" linamaanisha Mungu mwenyewe. "Mungu" # kwa shukrani "kwa kumshukuru" # zaidi ya ng'ombe au fahali "bora zaidi ya kutoa sadaka ya ng'ombe au fahali" # fahali mwenye pembe na kwato Msemo huu unatofautisha fahali wazima na ndama wadogo. "fahali mzima mweye pembe na kwato"