# imevunja moyo wangu Lahaja hii inamaanisha mtu ana huzuni sana. "imenikosea sana" # nimeja uzito huzuni kuu ya mwandishi inazungumziwa kana kwamba alikuwa amejaa uzito. "nimejaa uzito wa huzuni" # kunihurumia kusikia maombolezo au huzuni # Walinipa sumu kama chakula changu Hii inaweza kuwa fumbo. Chakula ambacho watu walimpa mwandishi kilikuwa kibaya sana hadi kilikuwa na ladha kama ya sumu. "Walinipa chakula chenye ladha kama ya sumu"