# elfu ishiri, maelfu juu ya maelfu Hii inawezekana haimaanishi idadi kamili, lakini kuashiria idadi kubwa. "maelfu mengi" # unapanda Hii ni kwenda juu kuelekea angani.