# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kuwazungumzia "watenda maovu" wa 64:1. # Lakini Mungu atawapiga ... kwa mishale Mwandishi anazungumzia adhabu ya Mungu kwa watenda maovu kana kwamba Mungu anapiga mishale kwao. # Watafanywa kujikwaa Mwandishi anazungumzia Mungu kusababisha mipango ya kushindwa kana kwamba Mungu alikuwaakiwafanya kujikwaa katika njia zao. "Mungu atawafanya wajikwae" au "Mungu atasababisha mipango yao kushindwa' # kwa kuwa ndimi zao wenyewe ziko dhidi yao Hapa "ndimi" inawakilisha maneno wanayosema. "kwa kuwa maneno wanayosema yako dhidi yao" # alichofanya "kile ambacho Mungu amefanya"