# midomo yangu itakusifu Hapa "midomo" inamwakilisha mtu mzima. "nitakusifu" # nitainua mikono yangu katika jina lako Hapa "katika jina lako" inamaanisha "kwako." "nitakuabudu wewe na kuomba kwako"