# Kwa nini umeinama chini, nafsi yangu? Kwa nini umefadhaishwa ndani yangu? Mwandishi jizungumzia undani wake kama "nafsi" yake. Anajiuliza maswali haya kujikemea. "Sitakiwi kuinama chini. Sitakiwa kuwa na wasiwasi" # umeinama chini Mwandishi anazungumzia huzuni au kukata tamaa kana kwamba nafsi yake imeinama. "kukata tamaa" # Mtumaini Mungu Mwandishi anaendelea kuzungumza na nafsi yake na kuiamuru kumtumaini Mungu.