# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # Maschili Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki. # Kama mbawala anavyotweta kwa ajili ya kijito cha maji, vivyo hivyo ninakiua na wewe , Mungu Mwandishi analinganisha shauku yake kwa ajili ya Mungu na shauku ya mbawala kwa ajili ya maji. # anavyotweta kupumua kwa nguvu kutoka kwa mnyama au mtu aliyechoka sana au mwenye kiu # ninakiua na wewe , Mungu ... Ninakiu na Mungu Mwandishi anazungumzia hamu yake kubwa kwa ajili ya Mungu kana kwamba ni kiu kikali kwa ajili ya maji. # nitakuja lini nakutokea mbele za Mungu? Mwandishi haulizi swali hili ili kupata jibu bali kuonesha shauku yake kubwa ya kuwa mbele za Mungu.