# mtu mwenye haki ameachwa "Yahwe amwacha mtu mwenye haki" # mtu mwenye Hii haimaanishi mtu bayana. Ni kauli ya ujumla. # wakiomba mkate Hapa "mkate" inwakilisha chakula kwa ujumla. "kuomba chakula" # Siku nzima Lahaja hii inamaanisha tendo hili ni tabia ya maisha yake. # watoto wake wanakuwa baraka "watoto wanakuwa kuwabariki wengine" # Geuka Kuacha kufanya kitu inazungumziwa kana kwamba mtu ankigeuka. "Acha kufanya"