# Yahwe, muokoe mfalme Tafsiri zinazowezekana ni 1) watu wanamwomba Mungu kumlinda mfalme au 2) mfalme anaendelea kujizungumzia katika hali ya mtu wa tatu. # mfalme; tusaidie tunapokuita Tafsiri zingine zinaelewa Kiebrania tofauti. Zingine zinatafsiri kama watu kuzungumza na Yahwe mfalme wao. "Mfalme, tusaidie tunapokuita"