# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Zaburi ya Daudi Hii inaweza kuandikwa kama: "Hii ni zaburi ambayo Daudi aliandika." # kukimbilia wewe Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia yeye. "kwenda kwako kwa jili ya ulinzi" # watu watakatifu waliomo duniani Hapa "watu watakatifu" inaashiria watu wa Mungu wanaomuamini. "watu wako wanaoishi katika nchi hii"