# mgumio Hizi ni sauti nzito ambazo watu hufanya kwa sababu ya maumivu au hisia kali # nitainuka," asema Yahwe Hii inamaanisha Yahwe atatenda kitu kuwasaidia watu.