# Taarifa ya Jumla: "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # weka kwa mtindo wa Sheminithi Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki. # Zaburi ya Daudi Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi. # Nisaidie, Yahwe "Yahwe, njoo unisaidie" # waaminifu wamepotea "watu waaminifu wamepotea wote"