# hakuna udhalimu mikononi mwangu Mikono inaashiria jambo analofanya mtu. Kuwa na udhalimu juu yake inamaanisha kuwa amefanya kitu kisicho cha haki. "hakuna udhalimu ni kile nilichofanya" au "sijafanya chochote kisicho cha haki kwa yeyote"