# matunda ya mikono yake "pesa alizopata" # yeye mwenyewe hujivika nguvu "hujiandaa yeye mwenyewe kwa kazi nzito" # na huifanya mikono yake kuwa imara "na huitia nguvu mikono yake kwa kufanya kazi yake"