# Aguri...Yake...Ithiel...ukali Haya ni majina ya watu # Aguri mwana wa Yake Aguri ni mtoto halisi wa Yake, wala si mjukuu # kwa Ithiel, kwa Ithiel na ukali "Hii ni kwa Ithiel, kwa Ithiel na ukali ' # Hakika "kweli" au "Hakuna shaka kwamba" # Mimi sina ufahamu wa wanadamu wala sima maarifa ya Mtakatifu "Mimi sifahamu chochote ambacho wanadamu wanapaswa kuvifahamu