# mwenye roho ya unyenyekevu atapewa heshima "Yahwe atasababisha watu kumheshimu mwenye roho ya unyenyekevu" # huyachukia maisha yake mwenyewe "huwa na uadui kwake mwenyewe" # husikia laana na hasemi kitu "hasemi neno hata baada ya watu kutoa laana juu yake"