# shupaza shingo yake "kataa maonyo " # atavunjika katika muda mfupi "Mungu atamvunja ghafla" # pasipo kupona "na hakuna mtu ataweza kumsaidia" # watu hushusha pumzi "watu watakuwa na hofu na huzuni"