# mtu mroho mtu mchoyo anayetaka vitu zaidi, pesa au chakula kuliko mahitaji yake # huchochea mgogoro "husababisha mgogoro " # yeye nayeutumaini moyo wake "mtu anyejiamini mwenyewe" # yeyote "mtu yeyote ambaye" # huenda kwa hekima "hufuta mafundisho ya busara"