# hakikisha unafahamu hali ya makundi yako ya kondoo na yajali makundi yako maneno haya yanaweka msisitizo juu ya kujali # makundi yako ya kondoo makundi ya kondoo # makundi makundi ya mbuzi # je taji hudumu kwa vizazi vyote? "taji haidumu kwa vizazi vyote" # taji hapa inamaanisha utawala wa kifalme # majani mapya huonekana "majani mapya huanza kukua"