# chukua vazi la yule ambaye ameweka dhamana kwa ajili ya mgeni angalia 20:15 # ameweka dhamana angalia 20:15 # shikilia rehani Angalia 20:15 # yeye ampaye jirani yake baraka "kama mtu atampa jirani yake baraka" # hiyo baraka itadhaniwa kuwa ni laana "jirani atadhania hiyo baraka kuwa ni laana"