# kama mbwa kuyarudia matapishi yake "kama mbwa anavyokula matapishi yake" # Je unamwona mtu ambaye ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe? " mfikirie mtu ambaye hudhani kwambani mwenye busara lakini hana" # Kuna tumaini zaidi kwa kwa mpumbavu kuliko kwake "mpumbavu anaweza kuwa na busara zaidi kuliko yeye "