# upepo wa kaskazini Katika Israeli upepo kutoka kaskazini maranyi ulileta mvua. # mtu ambaye hunena siri "mtu mwenye hasira" # hukasirisha nyuso huwafanya watu wengine wakasirike # pembe ya dari angalia # mke mgomvi mke ambaye mara nyingi hubishana na kulalamika