# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # mioyo yao "wao" # midomo yao "wao" # huongea juu ya madhara "huongea jinsi ya kutengeneza(kusababisha ) matatizo"