# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # katika masikio ya mpumbavu "ambapo mpumbavu anaweza kukusikia" # Kale ya zamani sana # jiwe la mpaka jiwe kubwa ambalo linaonesha ardhi ya mtu mwingine inapokomea na mwanzo wa ardhi ya mtu mwingine. angalia 22:28 # nyang'anya Maana yake kuanza kutumia ardhi ( au kitu) ambacho ni cha mtu mwingine # yatima watoto ambao wamefiwa na wazazi # mkombozi wao Yahwe # atatetea shitaka lao dhidi yako "atawalinda yatima dhidi yako" au "atahakikisha kuwa yatima wanapokea haki na wewe anakuadhibu"