# pembe ya darini Waisraeli wa kale walitumia muda wao mwingi kwenye dari zao, ambapo ilikuwa baridi zaidi kuliko ndani ya nyumba, na wakati mwingine watu walijenga sehemu ya kutosha kulala katika pembe ya dari # mgomvi mtu ambaye mara nyingi hubisha au hulalamika # hamu ya waovu ni kutamani ubaya kutamani # kutamani "kuwa na hamu kubwa mno" # hakuna huruma machoni pake "hana huruma" au "ni mchoyo sana"