# kusudio la moyo wa mwanadamu ni kama maji yenye kina "Ni vigumu kufahamu kusudi katika moyo wa mwanadamu ni kama kufika kwenye kilindi cha kisima" au " kusudi la moyo wa mwanadamu ni vigumu kulifahamu" # mtu mwenye ufahamu "mtu yule mwenye ufahamu" # atayateka "atasababisha kusudi kujulikana" au "atalichungu za" # mwaminifu "mwenye kuaminika" # lakini ni nani anaweza kumpata mtu ambaye ni mwaminifu? " lakini watu wachache wanaweza mtu ambaye ni mwaminifu" au "lakini ni vigumu kupata mtu ambaye ni mwaminifu kweli "