# uvivu humtupa mtu kwenye usingizi mzito ""uvivu humfanya mtu alale sana" au " mtu mvivu hulala sana" # kwenda njaa "kuwa na njaa" # amri "amri ambayo alifundishwa" # hulinda maisha yake "huyatunza maisha yake" # njia zake "namna anavyoishi "