# shahidi wa uongo hatakosa kuadhibiwa "hakika watamwadhibu shahidi wa uongo" # hunong'ona uongo "hudanyanya daima" # haifai "siyo sawa" # anasa hali ya ukwasi na furaha # sembuse kwa mtumwa "haifai zaidi kwa mtumwa" au "ni vibaya zaidi kwa mtumwa"