# husababisha mifupa kuvunjika "husababisha mtu kusafiri na kujiumiza mwenyewe" # mwenye moyo mdanganyifu "ambaye ni mdanganyifu" au "asiye mwaminifu" # mwenye ulimi wa ukaidi " hunena kwa ukaidi" au "hunena uovu" # huanguka katika msiba "atapatwa na msiba"