# kura hurushwa kwenye mikunjo "mtu hurusha kura kwenye mkunjo wake" # uamuzi hutoka kwa Yahwe Yahwe huamua namna kuanguka kura au si kura lakini Yahwe ambaye huamua nini kitokee.