# yule...yule "mtu ..mtu" # maskini "watu fukara" # Je wale ambao hupanga mabaya hawapotei? "wale ambao hupanga mabaya watapotea" # ambao hupanga mabaya "amabo hufanya mipango ya uovu" au " amabo hufanya mipango ya mambo mabaya"