# mwenye kuheshimu amri atapata thawabu "watampa tuzo yeye ambaye anaheshimu amri" # chemchemi ya uzima "chanzo kizuri cha uzima" # tanzi ya mauti "mitego ambayo huekea kwenye mauti"