# Maelezo ya Jumla Mwandishi anatumia ulinganifu katika sura hii yote # Maelezo ya Jumla katika mistari ya 1-15 analinganisha hekima na upumbavu # yeyoye "mtu yeyote ambaye" # yule achukiaye sahihisho "mtu ambaye hataki kuambiwa jambo la kufanya" # ni mpumbavu "asiye na busara"