# tumaini lilokuwa kwenye nguvu zake "ujasiri aliokuwa nao kwa nguvu zake mwenyewe" # hupotea "hutokomea" # Mtu mwenye haki hulindwa katika taabu "Mungu humlida katika taabu mtu ambaye hutenda haki" # taabu huja "taabu humpata"