# Maelezo ya Jumla Mistari mingi katika sura ya 11 ni ulingafu sambamba. # Yahwe huchukia vipimo ambavyo si sahihi "Mungu huchukia vipimo vya uongo" au " Mungu huchukia watu wanapodanganya" # lakini hufurahia katika kipimo sahihi "lakini hufurahia njia za uadilifu" au lakini hufurahi watu wanapokuwa waadilifu"