# Nilikuwa ubavuni wake Hekima anasema alikuwa karibu na Yahwe, kumaanisha kuwa alikuwa msaidizi wake katika kuumba dunia. # fundistadi mjuzi Huyu ni mtu amabye aliyefundishwa kwa miaka kutengeneza vitu vizuri kwa matumizi kama samani au nyumba # furaha chanzo cha raha au sababu ya kufurahi # siku kwa siku "muda wote" # dunia yake yote "ulimwengu wote alioumba" au " aliumba kila kitu" # wana wa wanadamu "watu aliowaleta kuishi ulimwenguni"