# jipatie mafundisho yangu kuliko fedha "fanya juhudi zaidi kufahamu mafundisho yangu kuliko kujipatia fedha" # Maana Hekima ni bora zaidi kuliko malijani; hakuna hazina inayolingana naye. "Maana mimi Hekima ni bora kuliko malijani, hakuna hazina inayolingana na mimi"