# sikiliza "kusikiliza kwa umakini" # tega sikio lako kwenye kauli zangu "sikiliza kwa usikivu kwa mambo amabyo ninakuambia" # usiache ziondoke kutoka machoni pako "usiache kuzitafakari " # uzihifadhi moyoni mwako "uzikumbuke daima"