# Maelezo ya Jumla Mwandishi ananena kama baba anayewafundisha watoto wake. # Sikiliza "kusikiliza kwa umakini" # utajua maana ya ufahamu "utajua jinsi ya kufahamu" au "utapata ufahamu" # Mimi ninakupa maagizo mazuri "Ninachokufundisha mimi ni kizuri"